Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mkuu rekebisha muda ni 1900hrs..sio na dk zake..
Ingia fawanews.sc uta check mechiLets wait guy. Afu mtu anielekeze namna ntaungalia youtube coz sijalipia ving'amuzi jamani
kwa hiyo nisikwambie kisa inatakiwa nijiheshimu? Uhuru wa maoni uko wapi?Jiheshimu dogo
Yaani kweli huijui Al Ahly au unataka kuniharibia sikukwa hiyo nisikwambie kisa inatakiwa nijiheshimu? Uhuru wa maoni uko wapi?
nakazia
Toa kikosi cha Yanga na updates nzuri tu hao Al Ahly achana nao kama wao ambavyo hawataizungumzia Yanga kwenye Site zao..Yaani kweli huijui Al Ahly au unataka kuniharibia siku
Huwa una akili sanaAll the best Al Ahly
🥶Hawa wengine wapigwe Moja yenye ujazo.
Hahahaaa. Lol.Kwani wana makomborero si tukikubaliana kuwa tunaachana na mambo ya mipira ya bongo ?
Khaaa!!Mkuu,unapoandika uzi huwa unawahi wapi? Mbona uzi haujitoshelezi? Embu ongeza nyama bwana tuwajue hao al ahly ni kina nani.
Nakazia Mkuu.Naomba Mungu aijaalie timu yangu Simba kesho ifungwe magoli mengi
si kila mtu anaijua Al Ahly, mfano imecheza mechi ngapi za makundi,imefunga/kufunga game/magoli mangapi ina pointi ngapi,matokeo ya mechi za mwisho timu hizi zilipokutana nk,lazima utufahamishe ili tukiwa tunatazama game na kufuatilia humu jf tujue tunaifuatilia timu aina gani.Yaani kweli huijui Al Ahly au unataka kuniharibia siku
Nitafrahi sana,waarabu wakifunga🙌
Tumie hizi website yallalivetv.net na vipleague.imLets wait guy. Afu mtu anielekeze namna ntaungalia youtube coz sijalipia ving'amuzi jamani
mashabiki wa utopolo bhana kwahio mnataka mtafuniwe kila kitu? 😆😆si kila mtu anaijua Al Ahly, mfano imecheza mechi ngapi za makundi,imefunga/kufunga game/magoli mangapi ina pointi ngapi,matokeo ya mechi za mwisho timu hizi zilipokutana nk,lazima utufahamishe ili tukiwa tunatazama game na kufuatilia humu jf tujue tunaifuatilia timu aina gani.
suala la ahly kushinda pigia mstari tuNitafrahi sana,waarabu wakifunga🙌