Makolo yakina Mwasibu , Scars na wengineo wamechukia point upepo wa siasa na maandamano na kujifanya hayafuatilii mpira kumbe yamejitafutia upenyo kiujanja kukwepa kutetea timu yao mbovu na kulikimbia jukwaa.Hahahaaa. Lol.
Kipindi cha pele ndio kipi hicho mkuu?FULL TIME
ALHALY VS YANGA
1 -0/1-1/2_1
HT MPIRA UTAKUWA. ZURI SANA UPANDE WA YANGA
AL AH LY WATATAWALA KIPINDI CHA PELE
Bora utumie simu hapo wewe unatafuta malware tu na umeambiwa hiyo page. Haupo secure hapo utapigwa kirusi ndani ya mashine yako
Acha ukuda timu ya taifa Leo ipo uwanjani kuliwakilosha taifa 😁😁😁Leo Utopolo maji mtayaita mma, nyambaf zenu ma.vi kunuka!
ChamtotooKunywa visita, vuta na shisha.. usipochangamka niite nikupe K vant kisichana
NimekionaBora utumie simu hapo wewe unatafuta malware tu na umeambiwa hiyo page. Haupo secure hapo utapigwa kirusi ndani ya mashine yako
Walijua hatujui eti. 🤣🤣Makolo yakina Mwasibu , Scars na wengineo wamechukia point upepo wa siasa na maandamano na kujifanya hayafuatilii mpira kumbe yamejitafutia upenyo kiujanja kukwepa kutetea timu yao mbovu na kulikimbia jukwaa.
😁😁pendezesha mezaKuja tuzinese 😎
Pdidy unataka kutuuaChamtotoo
Kunywa
COKE
Mix
Yai
Hbert soda
Cofee
Mwisho wa matatizo
Mpwaa hio mix n real inasafisha mishipa mpaka na dhambiPdidy unataka kutuua
Mbona kwangu Haiji hii kitu wapendwa