FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

Max anaigharim sana timu na mikurupuko yake, sehem ya inayohitaji calmness and shot, yeye anapiga kuua kipa, chandim shot styleπŸ€£πŸ™Œ
Max sio Leo huwa anapiga inavyomjia Jana kuchangua angle ili ashinde labda iwe papatupapatu kipa kajisahau au akutane na makipa wabovu kama wa NBC.

Ila huwezi kumkuta Max achague angle kama alivyofanya Okelo ile nafasi aliyokosa padogo kushinda kipindi cha kwanza
 
Haya hatuyawezi majamaa yanacheza mpira unawatii kama yanasumaku miguuni!.
pass straight ufundi wakiwango halafu mbio yanazo Mh!. yametushinda haya tugange yajayo tu..πŸ˜…
Komweee, poleee wee, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Max anaigharim sana timu na mikurupuko yake, sehem ya inayohitaji calmness and shot, yeye anapiga kuua kipa, chandim shot styleπŸ€£πŸ™Œ
Shindwa pepo! Acha kumsakama mtumishi wa Mungu mchungaji Nzengeli.
 
Oh sisi tuna depu, sijui okello, mara tuna kocha ex rili madiridi, sijui CAFCL cup ni letu huu mwaka, Kiko wapiiii.
Mtapigwa nje ndani
 
Yanga kipindi cha kwanza ukitoa dakika chache za mwanzo walikuwa vizuri sana wamecheza mpira mzuri sana.
Israh alizembea kuruka inatakiwa wampe adabu ya kufua jezi , mafarao wanapata bao kutokana na uzembe wa israh.
Okello πŸ”₯ β˜†β˜†β˜†
Israh β˜†β˜†
Damaro β˜†β˜†β˜†β˜†
Boka πŸ”₯ β˜†β˜†β˜†β˜†
Mudathir πŸ˜‚ β˜†
Pecome β˜†β˜†β˜†
Dube πŸ˜‚ β˜†
Diara alikuwa amechoka β˜†β˜†
Max πŸ”₯ β˜†β˜†β˜†β˜†
Hussein hawezi kupata namba basi tu ni huruma β˜†β˜†
Job β˜†β˜† bado sana kucheza kati β˜†β˜†
Anyway hongera mtani ball zuri ila mwisho mmecheza hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…