FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

Mara ya mwisho kuwaona mashabiki wa simba wakiwa na furaha hivi sikumbuki ni lini.

Ila yote kwa yote ni kuwa tumekutana na timu nzuri tumejua madhaifu yetu. Nadhani viongozi watafanyia kazi hayo maeneo.

Ili uwe mkubwa lazima ujipime na timu kubwa...
 
Inshallah game ijayo tutashinda
 
Ya bei ya mnada,tena bei ya jioni🀣🀣
Tena Mnada wa kariakoo pale chini ya soko kuu, sio kule majengo.

Kariakoo jezi hadi elf 5, ifue sasa inabaki dekio.
Ndo Yanga hii ya leo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…