Chali a chuga angalia usilewe sanaπNilikuwa natafuta sababu ya kunywa flying fish leo π, asanteni utopolo
Hivyo vikitu ni visoda vilivyochangamkaNilikuwa natafuta sababu ya kunywa flying fish leo π, asanteni utopolo
Kunywa visita, vuta na shisha.. usipochangamka niite nikupe K vant kisichanaHivyo vikitu ni visoda vilivyochangamka
ππ na Hii baridi ya huku unalewajeChali a chuga angalia usilewe sanaπ
shitua kijiti mix hivyo visamaki lazima usiz π€ππ na Hii baridi ya huku unalewaje
Nazipenda lips zangu za pink ππshitua kijiti π€
Mimi kuvuta hapana labda nivute subra tuKunywa visita, vuta na shisha.. usipochangamka niite nikupe K vant kisichana
fala weweπNazipenda lips zangu za pink ππ
ππ baridi haijakugonga vizuriMimi kuvuta hapana labda nivute subra tu
Nakulaga zangu vodka na nyama ya mbavu natulia tu kibingwaππ baridi haijakugonga vizuri
ππ si ni kweli au nakuyeyushafala weweπ
Kheri uchome mapafu kuliko maini na figo πNakulaga zangu vodka na nyama ya mbavu natulia tu kibingwa
Hahahahaa si mpaka ya chomeke sasaKheri uchome mapafu kuliko maini na figo π
yes,kwani uzi huu umeanzishwa kwa ajili ya nini? Mbona mbumbumbu mnaonekana ni viraza sana?mashabiki wa utopolo bhana kwahio mnataka mtafuniwe kila kitu?
AL Ahly 0 Yanga 0FT : AL Ahly 2οΈβ£ - 0οΈβ£ Young African
Zero zero kwa mechi hii ni ngumu sana mkuu.AL Ahly 0 Yanga 0
ah,ππ si ni kweli au nakuyeyusha
Kama hujui basi sio mfuatiliaji wa mpira, huu uzi sio kwaajili ya mashabiki wa rede bali ni wa mashabiki wa mpira wa miguu. Hakuna shabiki wa mpira wa miguu asiyeijua Al Ahly. Itakuwa umepotea njia, upo kwenye uzi ambao sio sahihi kwako.si kila mtu anaijua Al Ahly, mfano imecheza mechi ngapi za makundi,imefunga/kufunga game/magoli mangapi ina pointi ngapi,matokeo ya mechi za mwisho timu hizi zilipokutana nk,lazima utufahamishe ili tukiwa tunatazama game na kufuatilia humu jf tujue tunaifuatilia timu aina gani.
Kuja tuzinese πNilikuwa natafuta sababu ya kunywa flying fish leo π, asanteni utopolo