Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,851
- 9,372
hao ndio waarabu ogππMwenye mji wake kaingiaπ
Kilicho chomekwa bwasheeMtachomoa nini?
Au MashujaaNiko na mashabiki uchwara hapa mate tu. Sijui wanafikiri Al Ahly ni Namungo.
Kipindi cha pili najilipuahao ndio waarabu ogππ
SI wanakuwaga na mwiko nyuma Hawa, ndio watauchomoa leoMtachomoa nini?
halafu watupe taulo wakimbieππKilicho chomekwa bwashee
Kuna muda Watanzania tunajisahau sana. Unafungwa na Egypt moja bila unaanza kutoa mapovu utafikiri timu yako ni Brazil.Au Mashujaa
Unaweka laki moja wap?FT : 2-2. Naweka laki moja
tupa taulo ukimbie π πKipindi cha pili najilipua
Live beti kwenye stakeUnaweka laki moja wap?
πππ Nipo na wazee wa kigamboni hapa tunaweka mambo sawa game sare hiitupa taulo ukimbie π π
Hiyo pesa bora uitunze ule mandazi namaziwa mgando tuLive beti kwenye stake
Tuweke dau kwenye huo mkeka wako weka jiwe mi naweka laki seriouslyFT : 2-2. Naweka laki moja