FT | Al Ahly 2-0 Yanga SC | CAF Champions League | Borg El Arab Stadium | Jan 23, 2026

Niko na mashabiki uchwara hapa mate tu. Sijui wanafikiri Al Ahly ni Namungo.
Ila wamejitahidi sana ile ndio ilikuwa shot on target ya kwanza kwa Al Ahly na goli wakati wao walifanikiwa kutengeneza nafasi nyingi sana ambazo zingine kipa kacheza. Wakijipanga vizuri kipindi cha pili kwa kusahihisha makosa wanaweza kusawazisha
 
Matokeo ya mpira hakuna cha kujitahidi bwashee
 
Ila wamejitahidi sana ile ndio ilikuwa shot on target ya kwanza kwa Al Ahly na goli wakati wao walifanikiwa kutengeneza nafasi nyingi sana ambazo zingine kipa kacheza. Wakijipanga vizuri kipindi cha pili kwa kusahihisha makosa wanaweza kusawazisha
Mkuu, hii ni Al hly sio Azam, ni kosa shabiki wa Simba kujisahaulishi hili, nimewaangalia Yanga wana timu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…