FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Hiki ndicho kikosi ambacho nilikipendekeza! Imagine hakuna badiliko hata moja.

Hivyo iwapo kitafungwa, basi nitayapokea matokeo kwa mikono miwili 🙏

Na kamwe asitafutwe mchawi.
Wachawi ni nyie wenyewe kwa midomo yenu ..kuwavimbisha wachezaji vichwa kwamba wao ni bora kuliko wapinzani,kwamba mayele ni halland kwamba alhalali ni timu ndogo. Poleni sana ila bado mpira unadunda,mkichomoka humu muwe na adabu.
 
giphy.gif

Nailazimisha furahaaa... Ingawa moyoni nina majoziiii..[emoji23]
 
Wachawi ni nyie wenyewe kwa midomo yenu ..kuwavimbisha wachezaji vichwa kwamba wao ni bora kuliko wapinzani,kwamba mayele ni halland kwamba alhalali ni timu ndogo. Poleni sana ila bado mpira unadunda,mkichomoka humu muwe na adabu.
Na tutawavimbisha sana tu. Kama wanatuletea makombe yote katika nchi, shida iko wapi?
 
Beki gani aliyegeuzwa kama chapati goli ya kwanza hili ?
 
Wamemtengeneza hivyo, anapenda asifiwe yeye tu. Yani ni bora Team isipate matokeo mazuri ilmradi afunge tu kwake inatosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa bila kujua atajikuta anajipotezea soko lake na mwisho wa siku atajikuta anachezea Yanga mpaka anakuja kufukuzwa

Mechi kama hizi ndio angezitumia vizuri kujitangaza kisoko, wadau wa mpira na managements za usajili huwa zinatolea macho sana kwenye m3chi kubwa kama hizi kujua msimu ujao wamsajili nani

Sasa unapopata nnafasi ambayo ulitakiwa kuitumia ikaleta advantage kwenye timu na kutanguliza ubinafsi mbele tafsiri yake ni kwamba hakuna mwekezaji ataye thubutu kumnunua mchezaji wa aina hiyo

Ubora wa mchezaji ni zaidi ya kufunga, Mayele anapaswa ajue hilo
 
Hii Mechi bado nawaona utopolo wakitoboa japo maneno yao yatakuwa mengi sana hapa mjini paka tushindwe kufanya shughuli zetu kwa amani
 
Back
Top Bottom