Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
kmmk tumekosa gori LA wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kmmk tumekosa gori LA wazi
SureMechi ni draw ya 2/2
Ndio mpira huo, hamna anayependa kuonekana mnyonge mapema..Tatizo ana mdomo sana
Acha bange utopolo hakuna soka lolote hapoSoka wanalocheza Yanga ni la ubora wa hali ya juu tatizo mpira ni magoli.
Toka lini uliambiwa mpira ni DK 45Huu uzi kasi imepungua kwa sbb wenye uzi wako 2 wanaojitahidi kuvumilia maumivu.
Ohooo...angalia msianze tena kushindia ile mihogo..!!Balaa hili. GSM outttttttt
Vipi tena? Sio 2 mnapigwa 3Mpira una maajabu yake mechi nyeupe kabisa jamaa watapigwa mbili za fasta na kupagawa mazima ( Walisikiaka walevi wakijadiliana)