Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Yanga kwa hili goli mlilokoswa mumshukuru mchawi wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HuyuMuzamir Yassin anahatariHuyo winga Muzamie anateleza
Aibu gani hizi jamani.
Mpira ni magoli ndioooo . Kwenye rank huko hamtawekwa hizo pasi zenu na chenga zenuSoka wanalocheza Yanga ni la ubora wa hali ya juu tatizo mpira ni magoli.
Simba tutamchukua huyo.Huyu Yasir Muzamir ndio best striker Cecafa Zone
Hakuna striker mwenye uwezo wake
Huyu anatakiwa kuanzia bench. Ukimwanzisha nae na uto tuToaaaa Morison anaruka ruka tu
Usibane kilio kifuani, kulia ni dawa. Lia kwa nguvu upone.Ila makolo bhana,
Wanaumizwa roho na Yanga
Ama kweli Yanga ni timu ya Wananchi
[emoji172][emoji169]
Hili jicho kama la mchawi karaba
Ok, basi tuwape goli 0.5, basi tafuteni hiyo nusu nyingine muwe mmesawazisha..Soka wanalocheza Yanga ni la ubora wa hali ya juu tatizo mpira ni magoli.