FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Mashabiki wa simba ata mkiangalia jua kali fureeesh
C64CBC93-4EEE-4339-B090-2D682321FC21.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mayele ni ms3nge

Toa pasi we unataka ufunge
 
ma.ma.e nabi na azizi ki wasirudi dar wabaki huko huko somalia sjui sudan.. raisi wa gsm hatukutaki umejaza chawa kibao ofisini ..timu yetu inaninvest kwenye media badala ya kucheza mpira wa malengo. foolish.. kuharibiana siku tu..
Kweli mmeinvest EFM na radio stations nyingine kibao, bado kwenye magazeti ya michezo ndio mnaupiga mwingi balaa...
 
Back
Top Bottom