FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Sofascore wana utani wa ngumi na Utopolo hilo jina la mfungaji[emoji23][emoji23]
Screenshot_2022_1016_212922.jpg
 
we unampa cheo sjui plivadinyo ..sjui msemaji gani yule kamweka mara maulid kitenge.. tunajipa magundu tu.. kila siku kikao na waandishi.. nyokoo.. simba wenzetu washaachana na hayo mambo ya media.. promo promo wameachana nazo.. wanafukuza mwizi kimya kimya.. sio hawa mara wamtambulishe mchezaji kakaa juu ya gorofa za salamanda pumbav
Wanaleta siasa kwenye mpira 🚮🚮🚮
 
huu uwanja wao mbona mdogo sana hapa kwa mkapa si unaingia mara mbili huu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wanamiliki mpira ila hawapress ili was hoot golini
Hapo wameingia kwenye pattern za waarabu

Swala la Yanga ku press ni mbinu ya mpinxani na ndio maana wanakuwa hawana madhara hata wakimiliki mpira

Mpaka halftime naamini watakuwa wame press pad zote mpaka vidole viote sugu na hata on target wanaweza wasipate wakifanya masihara
 
Halafu Admin wa Al Hilal, yeye wala hataki kuandika Yanga Africans..!

Yeye amendika Al Hilal 1-0 Shababu Tanzania.

Akiwa na maana kwamba (Vijana wa Tanzania)
Screenshot_20221016-212059~2.jpg
 
Back
Top Bottom