FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Yanga anashinda kipindi cha pili na kuvuka kuenda shirikisho.....
 
Djuma shabani anajaza mtungi paleeeeee unakuwa nini.......gooooooooooooooooooooo........ni yule yule Fiston kalala Mayele anatetema nyuma ya bukta za Al hilal anawaandikia wananchi bao la kuongoza ni dakika ya 14 kipindi Cha kwanza.
Wacha bana ahahahaha
 
ma.ma.e nabi na azizi ki wasirudi dar wabaki huko huko somalia sjui sudan.. raisi wa gsm hatukutaki umejaza chawa kibao ofisini ..timu yetu inaninvest kwenye media badala ya kucheza mpira wa malengo. foolish.. kuharibiana siku tu..
Kwani mkuu azizi ki amecheza leo
 
Yanga mje tunaandaa training maalumu pale msimbazi namna ya kusajili kwa usahihi na kukabiliana na mechi za kimataifa.

Ada ni bilioni moja.
 
Mohammed wa Al Hilal ali score away na hapa tena ka score afu naye ni number 10 mgongoni

Katika rekodi ya soka hakujawahi kuwa na number 10 mzembe

Ni Yanga tu wenye bahati mbaya
 
Back
Top Bottom