FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Hapo wameingia kwenye pattern za waarabu

Swala la Yanga ku press ni mbinu ya mpinxani na ndio maana wanakuwa hawana madhara hata wakimiliki mpira

Mpaka halftime naamini watakuwa wame press pad zote mpaka vidole viote sugu na hata on target wanaweza wasipate wakifanya masihara

Timu za Waarabu mara nyingi ukiwakosa nyumbani kwako kuwafunga huwa ni ngumu sana kuwafunga kwao! Hiyo ni jadi yao!
 
Halafu inavyoonekana Nabi sio mzuri kwenye kuzikabili changamoto ukimtoa kwenye reli anapanic kwa haraka mno .............atulieeeee
 
Back
Top Bottom