FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Jf kitengo cha masijala sijalala bado.[emoji23]
Screenshot_20221016-091011.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
ma.ma.e nabi na azizi ki wasirudi dar wabaki huko huko somalia sjui sudan.. raisi wa gsm hatukutaki umejaza chawa kibao ofisini ..timu yetu inaninvest kwenye media badala ya kucheza mpira wa malengo. foolish.. kuharibiana siku tu..
leo Nabi na Ki aliyetikisa usajili hamumtaki tena vipi wazee wa back to back
 
Kwa kuwa Yanga haijui kujipanga kimkakati ....wahuni wamejaa kwenye hiteli waliyofikia Yanga...wachezaji hawana utulivu....hata maadui wako hotelini...hivyo kabisa...
kwani wako hotelini muda huu?
 
0-0 ipi tena [emoji23][emoji23][emoji23]
kama mechi ingeisha kwa 0-0.bado Al hilal wangepita kwa faida ya kupata goli walipokua kwa Mkapa.goli la ugenini.

Al hilal timu yangu wakaze leo.
mechi ikiisha 1-1 wanaenda extra time au matuta.

mechi ikiisha 2-2 Uto wanapita ingawa haiwezekani wakatoka droo yoyote ile Uto anapigwa ndani ya dk 90.
 
Tulia uncle 🤣🤣🤣
we unampa cheo sjui plivadinyo ..sjui msemaji gani yule kamweka mara maulid kitenge.. tunajipa magundu tu.. kila siku kikao na waandishi.. nyokoo.. simba wenzetu washaachana na hayo mambo ya media.. promo promo wameachana nazo.. wanafukuza mwizi kimya kimya.. sio hawa mara wamtambulishe mchezaji kakaa juu ya gorofa za salamanda pumbav
 
Back
Top Bottom