FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Huyu mtu wa live updates wa mtandao wa Sofascore, nashangaa jina la mfungaji wa goli ameandika ni Tayari Wananchi. Ametoa wapi jina hilo?

1665944043372.png
 
Sijui nacheka nini [emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna jamaa aliniambia mtu akicheka wakati mwanaume anavuja jasho ujue ana walakini kwenye njia yake ya haja kubwa.
 
Djuma shabani anajaza mtungi paleeeeee unakuwa nini.......gooooooooooooooooooooo........ni yule yule Fiston kalala Mayele anatetema nyuma ya bukta za Al hilal anawaandikia wananchi bao la kuongoza ni dakika ya 14 kipindi Cha kwanza.
Dk ya 2 mmekojolewa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom