FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Mbna mapema hiv mkuu kulikoni ??
Kwa kuwa Yanga haijui kujipanga kimkakati ....wahuni wamejaa kwenye hiteli waliyofikia Yanga...wachezaji hawana utulivu....hata maadui wako hotelini...hivyo kabisa...
 
Ooohooooooo kumbe ni simba ndo wanashangilia hivyo jmaniii. Mmekosa kabisa uzalendo naongea huku nimetoa meno
JamiiForums764597660.gif
 
Back
Top Bottom