Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daima mwiko mbele nyuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196]
😂😂😂Ooohooooooo kumbe ni simba ndo wanashangilia hivyo jmaniii. Mmekosa kabisa uzalendo naongea huku nimetoa meno
Wananchi wameshakeketwa hukoNasikia makelele banda umiza, kunani?
Watajua wenyeweOoohooooooo kumbe ni simba ndo wanashangilia hivyo jmaniii. Mmekosa kabisa uzalendo naongea huku nimetoa meno
Wananchi wameshakeketwa huko
Ndio lakini mpaka mmoja amzidi mwenzie kwenye magoli ya ugenini,mfano wakitoka 2-2 au 3-3 Yanga anapita.Si nasikia kuna goli la ugenini?
HahaaaaaaLeo yanga wanafuzi kwenda shirikisho
Yanga mnapenda sana mifano na sio uhalisiaNdio lakini mpaka mmoja amzidi mwenzie kwenye magoli ya ugenini,mfano wakitoka 2-2 au 3-3 Yanga anapita.
wakitoka 0-0 Al hila yangu inapita.