Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea uko wapiMwenye taarifa na hii mechi tafadhali
Afrika MASHABIKINimejaribu kuperuzi source zote za mitandaoni inaonesha kuwa ni saa mbili usiku kwa muda wa Africa Mashabiki
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Subiri kwanza mechi ya wenye nchi Simba iishe ndio utapewa taarifa tafadhaliMwenye taarifa na hii mechi tafadhali
Muda mmbaya sana huo ni wa watu kulala na ndoto za majonziYanga mda huo watakuwa na VIMA KWENYE PICHU.
"Karia anasema watakuwa na mavi kwenye chupi".
Rais karia TFF.
NAAMBIWA MECHI SAA TATU KAMILI USIKU KWA SAA ZA AFRICA MASHARIKI.
R.Madrid Vs Barca ni saa moja usiku kinawaka.Real barca saa ngapi ?
[emoji120]Nimejaribu kuperuzi source zote za mitandaoni inaonesha kuwa ni saa mbili usiku kwa muda wa Africa Mashabiki
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Mechi imeanza huko?Djuma shabani anajaza mtungi paleeeeee unakuwa nini.......gooooooooooooooooooooo........ni yule yule Fiston kalala Mayele anatetema nyuma ya bukta za Al hilal anawaandikia wananchi bao la kuongoza ni dakika ya 14 kipindi Cha kwanza.
Saa 11 hii tayari umeanzaR.Madrid Vs Barca ni saa moja usiku kinawaka.
Ft Al hilal 0-1 young AfricansMechi imeanza huko?
Kinawaka sasa hivi ni mapumnziko. Real wanaongoza kwa bao mbili. Barca wana zero.R.Madrid Vs Barca ni saa moja usiku kinawaka.
ndio mkuu,nilimuuliza mtu na yeye kumbe kaniingiza cha kike.
wamekimbia uzi mapema kabisa.Utopolo oyeeeeee?? Mbna mpo kimya Sana ? Kulikoni wajamen ??