3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Kachanganyikiwa msameheWapi nimesema mpira dkk 45
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachanganyikiwa msameheWapi nimesema mpira dkk 45
Hata ukiyapokea Kwa kichwa utajua mwenyewe.Hiki ndicho kikosi ambacho nilikipendekeza! Imagine hakuna badiliko hata moja.
Hivyo iwapo kitafungwa, basi nitayapokea matokeo kwa mikono miwili 🙏
Na kamwe asitafutwe mchawi.
Wachawi ni nyie wenyewe kwa midomo yenu ..kuwavimbisha wachezaji vichwa kwamba wao ni bora kuliko wapinzani,kwamba mayele ni halland kwamba alhalali ni timu ndogo. Poleni sana ila bado mpira unadunda,mkichomoka humu muwe na adabu.Hiki ndicho kikosi ambacho nilikipendekeza! Imagine hakuna badiliko hata moja.
Hivyo iwapo kitafungwa, basi nitayapokea matokeo kwa mikono miwili 🙏
Na kamwe asitafutwe mchawi.
Mnatuharibia kiswahili. "Utoki" maana yake nini? Vijana wa siku hizi ni majanga!View attachment 2389436walitabiriwa mapema sana
Ndio hicho kikosi kilichowatandika mbili mkapoteana.Kwaio timu iliyosajili mchezaji kutoka ligi ya uingereza ndo inashindwa hata kuvuka makundi tu!
Na tutawavimbisha sana tu. Kama wanatuletea makombe yote katika nchi, shida iko wapi?Wachawi ni nyie wenyewe kwa midomo yenu ..kuwavimbisha wachezaji vichwa kwamba wao ni bora kuliko wapinzani,kwamba mayele ni halland kwamba alhalali ni timu ndogo. Poleni sana ila bado mpira unadunda,mkichomoka humu muwe na adabu.
Kuwa mvumilivu mkuu.Yanga isiporudisha hili goli, naachana na mpira kabisa.
Oya munaharibu uzi na Image zenu za machura.
Huyu jamaa bila kujua atajikuta anajipotezea soko lake na mwisho wa siku atajikuta anachezea Yanga mpaka anakuja kufukuzwaWamemtengeneza hivyo, anapenda asifiwe yeye tu. Yani ni bora Team isipate matokeo mazuri ilmradi afunge tu kwake inatosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo sawa mkuuUpo sawa madam