FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Na tutawavimbisha sana tu. Kama wanatuletea makombe yote katika nchi shida iko wapi?
Makomnbee eti makombe yote la mapinduzi mlichukua? Au sio kombe ni bakuli lile? Sisi bado tunawazidi makombe. Any way wavimbisheni tuuu huyo azaz wenu aendelee kuwanyonya
 
Ningekuwa Nabi nisingerudi na Mayele kipindi Cha pili ningefanya maamuzi magumu ya kumpanga Makambo.
 
Wachawi ni nyie wenyewe kwa midomo yenu ..kuwavimbisha wachezaji vichwa kwamba wao ni bora kuliko wapinzani,kwamba mayele ni halland kwamba alhalali ni timu ndogo. Poleni sana ila bado mpira unadunda,mkichomoka humu muwe na adabu.
Mayele atatetema next wikend, wanasimba watabana pumbuz wikend ijao jamaa akishika mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…