Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makomnbee eti makombe yote la mapinduzi mlichukua? Au sio kombe ni bakuli lile? Sisi bado tunawazidi makombe. Any way wavimbisheni tuuu huyo azaz wenu aendelee kuwanyonyaNa tutawavimbisha sana tu. Kama wanatuletea makombe yote katika nchi shida iko wapi?
Hivi kumbe upo?[emoji23]Hiki ndicho kikosi ambacho nilikipendekeza! Imagine hakuna badiliko hata moja.
Hivyo iwapo kitafungwa, basi nitayapokea matokeo kwa mikono miwili [emoji120]
Na kamwe asitafutwe mchawi.
Mayele atatetema next wikend, wanasimba watabana pumbuz wikend ijao jamaa akishika mpiraWachawi ni nyie wenyewe kwa midomo yenu ..kuwavimbisha wachezaji vichwa kwamba wao ni bora kuliko wapinzani,kwamba mayele ni halland kwamba alhalali ni timu ndogo. Poleni sana ila bado mpira unadunda,mkichomoka humu muwe na adabu.
Na so far ni unbeatenMidomo inawaponza sana nyie utopolo.
Duh
Chura keshapachikwa mimba tayari[emoji23][emoji23]
Hahaha[emoji23]
Itakuwa Haina faida, aonyeshe huo mtetemo hapo SudanMayele atatetema next wikend, wanasimba watabana pumbuz wikend ijao jamaa akishika mpira
Anashinda na dera au na khanga?Yanga anashinda 3 vs 2
Yanga kmmk zenu Wseng mnaniuaa na presha huku [emoji174][emoji24]
Tupo tunafuatilia kwa umakini mkubwa, huku tukiendelea kuwaamini vijana wetu.
Wapiiii wewee wait and seeeMayele atatetema next wikend, wanasimba watabana pumbuz wikend ijao jamaa akishika mpira