FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Kipindi cha pili Yanga wameanza bila kasi yoyote huku wenyeji wao wakianza kwa kasi ya nguvu sana. Al Hilal siyo timu nzuri ila Yanga hawajui kumalizia mmipira yao.
 
Hii inaitwa "mcheza kwao hutunzwa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…