MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Uliisha sema Friendly.Mlijipima nao friendly match,unayakumbuka matokeo?
Uamuzi wa busara huu, kongole mtani.Ngoja nijilalie zangu mimi. Nitarudi asubuhi, kuja kuchungulia kama tumeangukia wapi.
Mbona kimya goal la timu ipi?G00000000ooooo
Kuna nini?Waooooooo
Hamna team pale, ni uzembe wa Yanga tu.Kumbe hao Alhalilili ni mdebwedo tuu?
anazingua huyo.Mbona kimya goal la timu ipi?
Imegonga mwamba wa Yanga. Hayo ni makelele wa SimbaMbona kimya goal la timu ipi?