MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Mashindano ya CAF usiposhinda nyumbani kwako imekula kwako and your out...ni wachache sn wanauwezo wakushinda ungenini Africa. Ukiangalia wote waliopita wameshinda nyumbani. Hivyo yanga walifungwa kabla ya game ya marudiano.