FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Ukweli ni kuwa Al Hilal pia hamna Kitu.....!

Basi tu Hawa Mabingwa wetu Wa NBC ndio michosho...!
 
CAF
Ni ya watu,kuna watu huwa wanalazimishwa tu kuwepo huko.Na tunazidi kujionea..hapa nilipo mtaa umepoa.
 
Back
Top Bottom