FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Tupo hapa tumeshakula tunashushia alkasusu mujaraaabu kabisa maana ukishangilia al hilal lazima uwe km mwarabu .....Utopolo msiwe na wasi wasi wanawafunga viwili tu[emoji41]
 
Yanga huwezi kuwaona humu kwasasa ila wakitangulia kufunga basi hakutakalika humu.

Tunahitaji update kutoka kwenu mnaoufatilia huu mchezo.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…