FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

Attachments

  • Screenshot_20220430-213521.png
    Screenshot_20220430-213521.png
    245.5 KB · Views: 2
Ushindi wenu nyinyi mnauona ni wa halali ila wa wenzenu hamtaki kuuheshimu mnadai refa kawaonea.

Machungu waliyoyapata akina Geita Gold( FA lst season), Namungo Fc na Azam Fc kupitia marefa wenu wa bahasha hamuona kama ni uonevu ila mlikenua meno yote, kenueni na leo sasa[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kufungwa kwenye soka ni jambo la kawaida, ila timu iliyo fanya usajili wa zaidi ya bilioni 6 na kupata ushindi ambao refa anatumika kuliko wachezaji ulio sajili ni Aibu na udumavu wa mpira.
Yanga licha ya kutolewa wameonyesha kile walicho tuonyesha tatizo la kutopata matokeo Lili kua nje ya uwezo wao, hakuna namna utamwambia refa.
 
Kocha Wa mchongo Wa vyombo vya Habari...!

Nabi huyu kabla ya kutua Yanga alitimuliwa na El Merrekh baada ya kuona Hana jipya Kimataifa.

Lkn Wachambuzi wetu Kila mara Walikuwa wanampamba kwa kiremba Cha ukoka!
Muache profesa Nabi wetu Tulimuajiri kwa ajili ya kuifunga Ihefu na Gwambina Fc over. Hayo mengine tuwaachie Simba
 
Hii ni michuano inayo ongoza Kwa kuwa aibisha Marefa, Maana timu Ina bebwa mbaka aibu. Kweli fedha fedheha.
[emoji2][emoji2][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2957][emoji2957][emoji3526][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kama mmavyobebwa ninyi NBC league kumbe inauma eehhh!!![emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kufungwa kwenye soka ni jambo la kawaida, ila timu iliyo fanya usajili wa zaidi ya bilioni 6 na kupata ushindi ambao refa anatumika kuliko wachezaji ulio sajili ni Aibu na udumavu wa mpira.
Yanga licha ya kutolewa wameonyesha kile walicho tuonyesha tatizo la kutopata matokeo Lili kua nje ya uwezo wao, hakuna namna utamwambia refa.
Dah! Lugha imebadilika tena. Ile ya kupindua meza kibabe haipo tena . Lawama kwa refa

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Iwe mvua iwe jua, ila mwisho wa siku dakika 90 ndo zinaamua.../

Nadhani itakuwa ni Sudani ya kaliua, ambayo walisema meza wanaenda kuipindua.../

Eti sisi ni klabu kubwa kuliko wale, na ndio maana wamefurahi kupata sare.../

Tuliwadhibiti hatukuwaruhusu watutawale, walipopiga mashuti yalizuiwa na mdaka mishale.../

Mechi ya marudiano hatuna cha kupoteza,tukienda kwao tunapindua meza.../

Uwezo upo maana Hersi kawekeza, sina haja ya kuongea saana maana kila kitu kinajieleza.../
 
Back
Top Bottom