Ni bi Ashura byuty byutyhivi ni nani aliyetunga ile slogan ya byuti byuti....???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bi Ashura byuty byutyhivi ni nani aliyetunga ile slogan ya byuti byuti....???
Wapande ndege usiku huu warudi
Kufungwa kwenye soka ni jambo la kawaida, ila timu iliyo fanya usajili wa zaidi ya bilioni 6 na kupata ushindi ambao refa anatumika kuliko wachezaji ulio sajili ni Aibu na udumavu wa mpira.Ushindi wenu nyinyi mnauona ni wa halali ila wa wenzenu hamtaki kuuheshimu mnadai refa kawaonea.
Machungu waliyoyapata akina Geita Gold( FA lst season), Namungo Fc na Azam Fc kupitia marefa wenu wa bahasha hamuona kama ni uonevu ila mlikenua meno yote, kenueni na leo sasa[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muache profesa Nabi wetu Tulimuajiri kwa ajili ya kuifunga Ihefu na Gwambina Fc over. Hayo mengine tuwaachie SimbaKocha Wa mchongo Wa vyombo vya Habari...!
Nabi huyu kabla ya kutua Yanga alitimuliwa na El Merrekh baada ya kuona Hana jipya Kimataifa.
Lkn Wachambuzi wetu Kila mara Walikuwa wanampamba kwa kiremba Cha ukoka!
Leo katetemewa. Alifikiri Wale jamaa ni IhefuImekuaje mayele hajatema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2957][emoji2957][emoji3526][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kama mmavyobebwa ninyi NBC league kumbe inauma eehhh!!![emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16]Hii ni michuano inayo ongoza Kwa kuwa aibisha Marefa, Maana timu Ina bebwa mbaka aibu. Kweli fedha fedheha.
Kuifunga Simba tuuHivi Malengo ya Yanga n Usajili wote ule ni nini...??
Ulikuwa usajili wa kampeni Ili Injinia Hersi apewe kura za urais wa Yanga na kafanikiwa kucheza na akili zetu hasa hapo kwa Aziza Key na Biring'anya wa EPLHivi Malengo ya Yanga n Usajili wote ule ni nini...??
Dah! Lugha imebadilika tena. Ile ya kupindua meza kibabe haipo tena . Lawama kwa refaKufungwa kwenye soka ni jambo la kawaida, ila timu iliyo fanya usajili wa zaidi ya bilioni 6 na kupata ushindi ambao refa anatumika kuliko wachezaji ulio sajili ni Aibu na udumavu wa mpira.
Yanga licha ya kutolewa wameonyesha kile walicho tuonyesha tatizo la kutopata matokeo Lili kua nje ya uwezo wao, hakuna namna utamwambia refa.
Hongereni Yanga kwa uthubutu, Sasa wananchi jipangieni kwa playoff match ya kufuzu kombe la shirikishoMpaka kufikia mishale hii nimekubali kushindwa
Tatizo Yanga kazoea Sana kubebwa na waamziDah! Lugha imebadilika tena. Ile ya kupindua meza kibabe haipo tena . Lawama kwa refa
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ata ingekua Madrid isinge pindua Meza, Refa kuwa Nyota wa mchezo sio jambo Dogo kwenye soka. Sasa usajili wa zaidi ya bilioni 6 Manufaa yake ni Nini?Dah! Lugha imebadilika tena. Ile ya kupindua meza kibabe haipo tena . Lawama kwa refa
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mnatumia ushirikinaSimba ambao tunawabomoa kilasiku tuna tumia Marefa?
Mzee unbeaten kwenye Ligi kuu. Kama ingekuwa hivyo mbona walishafungwa na Rivers??Leo kombe la unbeaten linaisha naona
Unbeaten kwenye Ligi kuu, hujui tulifungwana Rivers nje ndani??Cha ajabu yataendelea kujiita unbeaten