mi nimewalaani yeye pamoja na mpenzi wangu wa nje ya twanja MUSONDAHata sijaamini mana tulikalaani mbaya. π
Halafu wote ndo wamescore. πmi nimewalaani yeye pamoja na mpenzi wangu wa nje ya twanja MUSONDA
SIJUI MAYELE ALIKUA ANAMROGA Sikuhizi kawa wa maanaEbu watuambie ukwel uyu Azizi Ki n m bukinafaso kwel au n m Brazil
Sikuingine ntamlaani mpenzi wangu mpya zouzou na konkoniHalafu wote ndo wamescore. π
Hahaha dah nimekuja baharinisamaki samaki mkuu.. Wananchi wahamishiwe UEFA
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tushamaliza shughuli yetu, hivi makundi wanapanga lini.
Mwendo wa clean sheet.
π π π .. huko sipawezi aisee.. nimezoea sehemu iliyokaribu na kitaaa dk tano nipo chumbani
Kesho natamani nije kuangalia Formula 1 na Arsenal Fish Market ila nina ratiba ya Sinza πππ π π .. huko sipawezi aisee.. nimezoea sehemu iliyokaribu na kitaaa dk tano nipo chumbani