FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

Ni ushindi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20230916-WA0063.jpg
 
Tumeshinda Tunisia,tukaja ,Congo ,tukashinda Nigeria,tukaja South Africa,nikashinda Algeria na leo Rwanda.

Yanga kushinda ugenini sio kitu cha kushangaza tena.

Msimu huu sio tunashinda tu bali tunashinda na clean sheet.
Mkuu sio Kigali ni Khartoum, Sudan.
 
Tumeshinda Tunisia,tukaja ,Congo ,tukashinda Nigeria,tukaja South Africa,nikashinda Algeria na leo Rwanda.

Yanga kushinda ugenini sio kitu cha kushangaza tena.

Msimu huu sio tunashinda tu bali tunashinda na clean sheet.
Aahaaaa,ishakuwa kawaida yetu
 
Yanga haikua mpango wa kumtumia Mzize kama mshambuliaji wake namba moja walitaka akue taratibu na acheze bila presha.
Baada ya Yanga kumkosa dk za mwisho yule Mcameroon waliye mtaget ilibidi wamlete Konkon ambaye hajawa fit.
Kocha akawa hana chaguo zaidi ya kumtumia Mzize.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Kwani Mzize leo amecheza vibaya hadi umtolee maelezo yote hayo?
 
Back
Top Bottom