FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

yanga Mungu yu pamoja nasi! Ushindi uendelee mpaka wanaotudharau watusalimie kwa heshima! Yani mpaka mchezaji akija kucheza yanga ajisikie fahari na bahati! Amin
f78615b43a10953738aa439d9402ac1a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia, Mzize hatoshi kucheza Yanga. Yanga hii ya sasa ni aibu kuwa na mchezaji kaliba ya Mzize.
Yanga haikua mpango wa kumtumia Mzize kama mshambuliaji wake namba moja walitaka akue taratibu na acheze bila presha.
Baada ya Yanga kumkosa dk za mwisho yule Mcameroon waliye mtaget ilibidi wamlete Konkon ambaye hajawa fit.
Kocha akawa hana chaguo zaidi ya kumtumia Mzize.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom