FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

Sasa wakulaumiwa ni serikali yao kwa kushindwa kuweka hali ya amani uko Sudan. kazi ya Yanga ni kukufuata popote ulipo na kukuchapa tu
Sawa lakini kuchapa timu yenye matatizo kibao sio kipimo cha ubora!! Hakuna sifa ypyote ya kumksukuma mlevi na kumwangusha!
 
Mudhadhir leo alipotea sana nadhani angekaa Sure Boy pale kwa sababu ya Uchovu mechi ya Stars...Lomalisa nae kacheza vizuri wacha twende makundi huko tukutane na yeyote...
Game imemkataa tu leo, mbona stars hakucheza siku ile
 
Kwa hiyo ilichukua kombe?
Kwani tunajadili kuchukua kombe au tunajadili kipimo cha wanaocheza na Yanga? Hoja imewekwa hapa kuwa Yanga kumfunga Al Merrikh sio kipimo cha ubora kwasababu kwao Sudan kuna matatizo, nami nauliza USMA naye si alifungwa tena nyumbani kwao kabisaa, je na Algeria kuna matatizo yapi?
 
Hata tukiwafunga,makolo watasema hao jamaa hawana ubora kama wa msimu uliopita
Waseme chochote mpira unachezwa sehemu ya wazi Yanga wapo kwenye ubora sasa hivi hawa tunaowafunga na kuwatoa kipindi cha nyuma ndio walikua wanatukwamisha sasa hivi wanakuja kwa tahadhari sana...wale Alger kamfunga na kumkimbiza National wakati kwetu alikua anajidondosha kupoteza muda na walikua kwao...
 
Back
Top Bottom