Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Pamoja mkuuAl Merrikh ya Sudan wakitumia Uwanja wa Pele Kigali watawaalika Young Africans ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa.
Ni mchezo wa aina yake kwani Young Africans imefanikiwa kusafiri kwa kishindo cha mashabiki wengi mpaka jijini Kigali hivyo kuleta chache ya kuondoka na ushindi.
Tuwatakie heri na fanaka nyingi kwa Young Africans ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo.
Mechi itakuwa live saa 10:00 jioni na itakujia kupitia Azam Sports 1HD
Duhyanga leo wanaenda wakijua kabisa wanaenda kushindana na timu mbovu kwao, na wanajua wanaenda kushinda. sema wawe makini tu wasije wakashtukizwa. ila hata el merrikh wanajua yanga ipo vizuri na leo si rahisi kwao kutoka bila kuchapwa. na kama walishawahi kutusumbua yanga before, basi yanga piga kabisa ua kabisa hao ndezi.
wengi hamuelewi hili. kuanzia saa sita na madakika ambayo huwa tunaiita mchana (which is a general word), ni muda wa adhuhuri. adhuhuri inaisha saa tisa kamili.Nenda kafate Ada yako!
AahaaaaMkuu, Kwa propaganda mpo vizuri, mkipigwa mmepiga mkipiga mmepiga.
Vyura wawili tu ila unaweza dhani dimbwi limejaa vyura. Ni krooo, kroooooo maredioni kila sehemu.
Asante Kwa shule hii ya bure mkuuwengi hamuelewi hili. kuanzia saa sita na madakika ambayo huwa tunaiita mchana (which is a general word), ni muda wa adhuhuri. adhuhuri inaisha saa tisa kamili.
kuanzia saa tisa kamili hadi saa kumi na moja, inaitwa alasiri.
kuanzia saa kumi na moja hadi saa moja, inaitwa "jioni", na hiyo inamaanisha hilo ni "jio la usiku".
nendeni mkawafundishe na wenzenu. kwa bahati mbaya hata maprofesa wa kiswahili pale udsm watashindwa hili swali.
Wale wa Ndola wameshapita huko zamani sana,hawewezi kufananishwa na nyie underground kimataifa mnaopigania kufika huku mlipo miaka 25 iliyopigaukitaka kujua ukubwa wa Yanga, ni leo, kuna timu pale kigali na nyingine ndola. ila macho yooote ya watanzania yapo Kigali. sijui wengine mmelitambua hilo?
El Mereikh wametusumbua miaka ya nyuma aisee, nafikiri ni muda sasa wa sisi kurejesha furaha yetu.yanga leo wanaenda wakijua kabisa wanaenda kushindana na timu mbovu kwao, na wanajua wanaenda kushinda. sema wawe makini tu wasije wakashtukizwa. ila hata el merrikh wanajua yanga ipo vizuri na leo si rahisi kwao kutoka bila kuchapwa. na kama walishawahi kutusumbua yanga before, basi yanga piga kabisa ua kabisa hao ndezi.
Yanga hii iñavunja records zote, kiboko ya Al Ahaly ni Usmer Alger, tulipata matokeo kwao.Kila la kheri Yanga, kila la kheri Tanzania...
Nikirudi miaka ya nyuma, Al Merrikh wamekuwa wakiisumbua sana Yanga...
Sasa ni kizazi kipya, muda wa kulipa kisasi...
Una macho mawili au manne?Aloo wapi maeneo ya sinza naweza kuangalia games zote mbili ya simba na ya yamga kwa wakati mmoja
Una maana Gani? Kwamba Yanga liwakute la kuipiga Al Merreikh 5G au? Au hata Yanga 7 - 0 Al Merreikh?nawaombea utopolo lolote liwakute.
8Una macho mawili au manne?
Una macho mawili au manne?
Tumelitambua hilo Mkuu.ukitaka kujua ukubwa wa Yanga, ni leo, kuna timu pale kigali na nyingine ndola. ila macho yooote ya watanzania yapo Kigali. sijui wengine mmelitambua hilo?