Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwahiyo Mwamunyeto Bacca na Kakolanya kazi yao ingekuwa kuruhusu magori ungesemaje?Kazi iliyofanywa na Mzamiru na Kibu ni Salamu tosha Duniani kuwa jamaa wanastahili timu Yao kuwa kwenye Super league.
Hao ni Serikali kumbe! Duh 🙄We jamaa unaishi Dunia yaani Azam,Startimes,DSTV Bado unaidai serikali ionyeshe mechi😀😀😀
Dah! Fei kiwango kidogo hakuingia Taifa Starts? Mtoto nilikuwa napenda sana mashuti yake lakini ndiyo hivyo tena.Mkuu, Fei hakuwa shortlisted.
Hivyo labda yake aliyoyafanya ni sala huko alipo na labda kubana mbupu.
Kiungo cha kati alikuwepo Bajana na Mzamiru. Walicheza vizuri sana kwa hakika.
Tutafungwa goals 7
Dah! Fei kiwango kidogo hakuingia Taifa Starts? Mtoto nilikuwa napenda sana mashuti yake lakini ndiyo hivyo tena.
Mmhhh, umeangalia mpira broo? Mtu kama mzize unamuacha wanini sasa?Sana mkuu sema wachezaji waliofanikisha hili wawaache hadi mwisho isitokee tena kikosi kikabadilishwa watawakatisha tamaa.
Ni kama tu ilivyokuwa kwenye Afcon ya mwisho kushiriki. Yaani tutapigwa mechi zote kama ngoma vile. Maana hakuna timu ya ushindani pale. Sisi tutaenda kama washiriki.Sawa tumefuzu...ila Kwa kiwango tulichoonyesha sijui kitatukuta nini huko mbeleni!!!
Huwa hamkosi utoto hata kwenye Mambo yanyostahili ukubwa.Kazi iliyofanywa na Mzamiru na Kibu ni Salamu tosha Duniani kuwa jamaa wanastahili timu Yao kuwa kwenye Super league.
Edo Kumwembe kasema Kibu ni aina ya wachezaji wanaohitajika kwa mpira wa kisasa zama hizi.Ndio maana kocha wa Simba humwambii kitu kwa Kibu.
Hakuitwa kwenye kikosiAsante sana kwa Summary; mimi sikuuangalia kutokana na timing mbovu. Vipi Fei Toto naye alifanya yake?
Kwa akili Yako Hilo ni kubwa ila kwangu ni dogo sana Kwa mtu ambae nilireply.Alafu wakati mwingine usiwe unacoment bila kusoma comment za wenzio huko juu ndio maana umeshindwa kuelewa nilichocoment.Huwa hamkosi utoto hata kwenye Mambo yanyostahili ukubwa.
Ikawaje ndugu yangu?Tutafungwa goals 7
Shwari tuIkawaje ndugu yangu?
Hongera kwa Kocha wa Taifa Stars kuziba Masikio na kuchagua wachezaji anawaona yeye wanamfaa kwenye mfumo wake.Tuache taaluma zifanye kazi.Kocha Adel Amrouche Anaonekana ashatujua Watanzania Vizuri...Timu yetu usipokuwepo na promo ya media,ahadi za wanasiasa,kocha akipanga timu mwenyewe bila shinikizo........mara nyingi inafanikiwa
Nikweli kabisa,kuna watu wapo kwenye Media at the same time ni mameneja wa wachezaji, mchezaji wake asipoitwa anaanza kubweka bwekaHongera kwa Kocha wa Taifa Stars kuziba Masikio na kuchagua wachezaji anawaona yeye wanamfaa kwenye mfumo wake.Tuache taaluma zifanye kazi.Kocha Adel Amrouche Anaonekana ashatujua Watanzania Vizuri...
Hata mwakani akiwa Huru hivi hivi Tutafika Mbali sana