FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

FT: Algeria 0-0 Tanzania | AFCON Qualifier | Tanzania yafuzu AFCON

Kazi iliyofanywa na Mzamiru na Kibu ni Salamu tosha Duniani kuwa jamaa wanastahili timu Yao kuwa kwenye Super league.
Kwahiyo Mwamunyeto Bacca na Kakolanya kazi yao ingekuwa kuruhusu magori ungesemaje?

Tuache huu upumbavu, hii ni team work, tukishinda tunashinda wote na tukifungwa tunafungwa wote.

Bila kukomesha hizi tabia za kishamba Tanzania tusahau mafanikio kwenye mpira.
 
Mkuu, Fei hakuwa shortlisted.

Hivyo labda yake aliyoyafanya ni sala huko alipo na labda kubana mbupu.

Kiungo cha kati alikuwepo Bajana na Mzamiru. Walicheza vizuri sana kwa hakika.
Dah! Fei kiwango kidogo hakuingia Taifa Starts? Mtoto nilikuwa napenda sana mashuti yake lakini ndiyo hivyo tena.
 
Dah! Fei kiwango kidogo hakuingia Taifa Starts? Mtoto nilikuwa napenda sana mashuti yake lakini ndiyo hivyo tena.

Kaleta utoto kiwango kimeshuka, labda ajitahidi mwakani wakati wa AFCON awe fit...
 
Sana mkuu sema wachezaji waliofanikisha hili wawaache hadi mwisho isitokee tena kikosi kikabadilishwa watawakatisha tamaa.
Mmhhh, umeangalia mpira broo? Mtu kama mzize unamuacha wanini sasa?
 
Sawa tumefuzu...ila Kwa kiwango tulichoonyesha sijui kitatukuta nini huko mbeleni!!!
Ni kama tu ilivyokuwa kwenye Afcon ya mwisho kushiriki. Yaani tutapigwa mechi zote kama ngoma vile. Maana hakuna timu ya ushindani pale. Sisi tutaenda kama washiriki.
 
Huwa hamkosi utoto hata kwenye Mambo yanyostahili ukubwa.
Kwa akili Yako Hilo ni kubwa ila kwangu ni dogo sana Kwa mtu ambae nilireply.Alafu wakati mwingine usiwe unacoment bila kusoma comment za wenzio huko juu ndio maana umeshindwa kuelewa nilichocoment.
 
Timu yetu usipokuwepo na promo ya media,ahadi za wanasiasa,kocha akipanga timu mwenyewe bila shinikizo........mara nyingi inafanikiwa
Hongera kwa Kocha wa Taifa Stars kuziba Masikio na kuchagua wachezaji anawaona yeye wanamfaa kwenye mfumo wake.Tuache taaluma zifanye kazi.Kocha Adel Amrouche Anaonekana ashatujua Watanzania Vizuri...
Hata mwakani akiwa Huru hivi hivi Tutafika Mbali sana
 
Nikweli kabisa,kuna watu wapo kwenye Media at the same time ni mameneja wa wachezaji, mchezaji wake asipoitwa anaanza kubweka bweka
 
Back
Top Bottom