Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwahiyo Mwamunyeto Bacca na Kakolanya kazi yao ingekuwa kuruhusu magori ungesemaje?Kazi iliyofanywa na Mzamiru na Kibu ni Salamu tosha Duniani kuwa jamaa wanastahili timu Yao kuwa kwenye Super league.
Tuache huu upumbavu, hii ni team work, tukishinda tunashinda wote na tukifungwa tunafungwa wote.
Bila kukomesha hizi tabia za kishamba Tanzania tusahau mafanikio kwenye mpira.