FT: Argentina 3-2 Egypt | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | 7 Julai, 2026 | 1:00 Usiku | Egypt yaaga mashindano

Argentina wanabebwa sana, wawape kombe sasa ijulikane tu
Wawape kombe wasisumbue watu kuangalia wala kufatilia .. wamekataa goli halali wakasema kuna faulo imechezeka! SALAH kaangushwa kwenye box goli limefungwa hajasumbuka kwenda kuangalia... nikiangalia mechi ya morocco na France basi hizi za argentina zinaboa mbeleko nyingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…