SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Umesema goli la kichwa ni dharau kama umekojolewa.Kwani hapa tunazungumzia mechi gani
Hii game ile mentality ya kudroo ugenini ndo imefanya kukosa alama tatu.Hii game ukiiangalia utagundua Yanga haina makocha, hii ilikuwa game ya kuchukua points zote.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ikitokea hiyo niko pale jangwani kwenye mafuriko nang'ora kichuraaa churaTunakukumbusha tu kama Horoya akimpiga Raja shughuli hauna na Horoya uwezo huo kwa jinsi jana nilivyo tizama mechi anao.
Dogo, halafu kumbuka hapa tuanongelea kombe la losers! Confederation Cup Hao wengine wa Champions league watoe.Tunakukumbusha tu kama Horoya akimpiga Raja shughuli hauna na Horoya uwezo huo kwa jinsi jana nilivyo tizama mechi anao.
Duuh bongo sihamiKila lakheri AS Bamako timu yangu tangu nazaliwa.
Sasa kwa nini isitokee? Tatizo hatujuani kila kitu humu JF ni fake hata ukiweka ahadi ya kukata gogo Kkoo mimi nachukulia kama utani.Ikitokea hiyo niko pale jangwani kwenye mafuriko nang'ora kichuraaa chura
Sasa unaongelea loosers manake hata ww ni loosers.Dogo, halafu kumbuka hapa tuanongelea kombe la losers! Confederation Cup Hao wengine wa Champions league watoe.
Kumbe tumepigwa? Hahahahha unajizima data 😁Kwani mmeshinda? Haaa haaa
wapi nimemuita TP MAZEMBE KIBONDE? LETE HEAD TO HEAD KATI YA MAZEMBE NA KABWILI FC.Nikutajie ni mara ngapi TP Mazembe wamekukojelea?
Au nisikuharibie siku?
Ubao unasomaje kwaniKufurahia mimba unaweza kuzaa zezeta.Haya angalia sasa.Kidude kimekwamia katikati.
Hata vipers wamemuangusha sio?Wewe mbona kila mtu anakuamgusha? Mazembe wanakuangusha, Bamako wanakuangusha, Makolo wanakuangusha. Hebu jishikilie bana mtani!
Migogoro inaanzw upya.Horoya akimpiga Raja,waganga wenu wakatafute shughuli ya kufanya.
Kunywa Novida ulaleKumbe tumepigwa? Hahahahha unajizima data 😁
Nani haeleweki?Baada ya Yanga kumalizana na usajili wa wachezaji, ihamishe jitihada hizo hizo kutafuta kocha wa kueleweka.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Tatizo siyo makocha. Tatizo ni ccm. Hata umlete pep guardiola kwa hizi timu za bongo atachemsha.Baada ya Yanga kumalizana na usajili wa wachezaji, ihamishe jitihada hizo hizo kutafuta kocha wa kueleweka.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Mimi naona hiviBado unaendelea kuona hivyo hivyo?
Raja CasablancaKwani hapa tunazungumzia mechi gani