FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Horoya akimpiga Raja,waganga wenu wakatafute shughuli ya kufanya.
 
Ikitokea hiyo niko pale jangwani kwenye mafuriko nang'ora kichuraaa chura
Sasa kwa nini isitokee? Tatizo hatujuani kila kitu humu JF ni fake hata ukiweka ahadi ya kukata gogo Kkoo mimi nachukulia kama utani.

Ila kama uliitizama game ya jana na Raja ,Horoya ana 70% ya kushinda kwake.
 
Tatizo pale Mabeki Ni Wafupi..!

Mkibisha Leteni Kipimo cha Urefu cha JOB.! Sidhani kama Kavuka Sentimita mia arobaini Na tano..!
 

Attachments

  • Tablee.jpg
    Tablee.jpg
    19.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom