SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Umesema goli la kichwa ni dharau kama umekojolewa.Kwani hapa tunazungumzia mechi gani
Ukasahau kwamba na wewe ulitoka kukojolewa hivyohivyo kule Guinea, tena mkojo usokuwa na majibu. Au mkojo ulikuzidia kiasi cha kutokukumbuka mpaka unamnyooshea mwingine kidole?