FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Hujui kuwa wanao shindwa kufuzu CAF champions wanakuja huko shirikisho? Kwa hiyo wana lose kule wanakuja kujoin na malosers.
 
Kitu pekee nakipenda Yanga ni kale kawimbo kanaimbwa YANGA TAMU ASIKWAMBIE MTU...

Lakini hakana uhalisia. Eti ni uongo Shadeeya mtani wangu
 
Siku zote wananchi hatuna mambo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…