monta
JF-Expert Member
- May 6, 2014
- 1,271
- 1,803
pakua yaccine tv app mechi zote liveYouTube nan wanaonesha???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pakua yaccine tv app mechi zote liveYouTube nan wanaonesha???
Si walimfukuza Saido kwasababu ya umriUmri baba
Tatizo Lake ni Uzee, nyonga zikiguswa Kidogo tu Zinakataa Kuwa stretchable...!Huyu Aucho amekuwa akiandamwa sana na majeraha, hili ni tatizo
Acha tuangalie kina Casemiro tusafishe macho kwa kutazama ukungu kwa muda mrefuHT' ASR 0-0 YNG
Shirikisho kuna Timu za viwango vya kawaida, hata kundi hili, Gongowazi asipotoboa ajilaumu mwenyewe yaani.Hii mechi sidhani kama itazalisha magoli hata mawili sidhani
Kweli kabisa, na Onyango tatizo lake ni utoto ndiyomaana akipigwa chenga anaamua kukumbatia mchezaji hadi akaruhusu penati [emoji38]Tatizo Lake ni Uzee, nyonga zikiguswa Kidogo tu Zinakataa Kuwa stretchable...!
Na ukisema uwabague wataenda kutoa malalamiko kwenye vyama vinavyopigania haki za wazeeTatizo Lake ni Uzee, nyonga zikiguswa Kidogo tu Zinakataa Kuwa stretchable...!
Monastir ni mbovu? Mbona wamecheza na hao hao Bamako na wameshindwa kuifunga, tena Monastir ndiye aliyechomoa goli.Tp Mazembe ni mbovu wala tusitafute maneno ya ku-minimize kuwafanya waonekane bora
Mashabiki wana vibe la kunguni hawapatani na mwangaSijui Kwann hakuna mashabiki.
Alikuwa sahihi kabisaKuna mtu alianzisha uzi kuhusu swala la Aziz Ki kupoteza mpira
Niw nimeanza kumuelewa