FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

FT: AS Real Bamako 1-1 Young Africans | CAF Confederation Cup | Stade Modibo Keita | 26.02.2023

Mechi ndo mechi ambayo nimeshindwa kabisa kuielewa hata baada ya kuiwekea subtitles
 
Mi naona hali ya hewa kama joto ni kubwa kama tunavyoambiwa hakuna haja ya kucheza mpira ea kasi na nguvu.
 
Mchambuzi anamuuliza mchambuzi mwenzake eti "kwanini hakuna goli"

Wakati ye mwenyewe kaangalia mpira na jinsi Mayele anavyo dimba dimba kule mbele
 
Tp Mazembe ni mbovu wala tusitafute maneno ya ku-minimize kuwafanya waonekane bora
Monastir ni mbovu? Mbona wamecheza na hao hao Bamako na wameshindwa kuifunga, tena Monastir ndiye aliyechomoa goli.
Hao Tp Mazembe si ndio iliyocheza nusu fainali msimu ulioisha?
 
Back
Top Bottom