FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Kwa kiasi fulani, naona kama tabia za Kibu Dennis zinahitajika pale mbele ili hizi nafasi tunazopoteza zigeuke faida.

Ova
 
Namwona Kibu na Micquisson wanapasha, hawa wakiingia wataweza kuongeza mashambulizi
 
Hawa jamaa ni kama washakula mpunga wetu ila hawaoni kama tuna kiu ya kufunga.
 
Off course Simba is now playing...
sio bure
 
Mchezaji pekee ambaye ana talent ya mpira wa kileo Simba ni Au in Kramo tu. Bahati mbaya ndiyo hivyo tena
 
Simba bila kuondokana na wachezaji kama 3 au 4 wa KIKOSI CHA KWANZA itaendelea kuwa na kikosi cha kusuasua tu. Kuna wachezaji prime yao imeshapita na ufanisi wao umepungua mno.

Simba hii bado haiwezi kupiga pasi 4 za kwenda mbele bila kupoteza mpira.
 
Hiyo counter Ilikuwa balaa sana kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…