Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Mchezaji pekee ambaye ana talent ya mpira wa kileo Simba ni Aubin Kramo tu. Bahati mbaya ndiyo hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 wee mtu unafanya nicheke na hata sitakiii, inachekesha na kuhuzunishaa.Mchezaji pekee ambaye ana talent ya mpira wa kileo Simba ni Au in Kramo tu. Bahati mbaya ndiyo hivyo tena
Inachekesha sana 😁😁🤣Angle ya Camera kwenye hii mechi ni kichekesho
Africa ni Africa
Au ni mimi tu maana hii ni mara ya kwanza kuangalia mpira kwa TVE? Toka kipindi cha pili kimeanza main angle iko kwenye kibendera
Ndio ukweli wenyewe. Wachezaji wamechokeana utadhani kama mazoezi yao hufanyiwa QFL😆😂😂😂😂 wee mtu unafanya nicheke na hata sitakiii, inachekesha na kuhuzunishaa.
KabisaKanoute ile nafasi ataiota.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niachie mbavu zangu wallah.Ndio ukweli wenyewe. Wachezaji wamechokeana utadhani kama mazoezi yao hufanyiwa QFL[emoji38]
huwezi sahaukuwacheki walipopigwa 5 - 1 na Yanga kwa vile tu ilicheza na Yanga ambao sika lake unaenjoy ukicheki.
Nikupe namba za mganga wenu afanye mambo ya mvuto?GEMU HAINA MVUTO KABISA
Ni kwa wote Iko hivyoo inaonekana vibaya sanaAu ni mimi tu maana hii ni mara ya kwanza kuangalia mpira kwa TVE? Toka kipindi cha pili kimeanza main angle iko kwenye kibendera
Wananunua startime kufanya production hawajashindwa kupitia hd zao za starworld unayeongea nae hapa ni mtu wa production hata wasikudanganye azam awafanyi production Caf naó wananunua wanafanya hapa bongoNBCPL bado sana kuonyeshwa sehemu nyingine tofauti na Azam.
Mwaka ambao Azam alichukua haki ya kurusha ligi kwa miaka 10 pia alikuwa dstv ila ujinga wa wake ni alitaka kurusha mechi za simba vs Yanga tuu hapo ndipo akapigwa na kitu chenye ncha kali na Azam hvy Akachukua nafasi yake kiwepesi.
Startimes wapo clear kuzidi Azam kivipi.? Kumbuka hao Startimes hawafanyi production, sasa huwezi kusema wapo clear zaidi ya Azam wakati hao wote wanapokea video ya aina moja kwenye hizo mechi za CAF zinazochezwa nje ya Tanzania.