FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Asec kwa 2nd time hawako bora km nwanzo, sema vile simba ni wako lege lege sana na hawana skills za kupata bao.

Ila wangekua serious, bas tungepata bao hapa, na venye nafas za wazi wanakosaaa aaaah
[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Hawa wapuuzi ni vile Leo ni weekend Yan wote wamekutana pipa na mfuniko, wananipotezea tu muda
 
Back
Top Bottom