Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Wanatunyanyasa sanaHawa Memosa wanacheza ili wasiumie au kuchoka maana washafunga hesabu.
Sio kwa Simba hii. Hii Simba hata ikishinda tunasikitikaIle slogan ya this is 5imba imeadimika sana
Njoo nikuonyeshe nnayo hapaIle slogan ya this is 5imba imeadimika sana
Najiona kama naumia shingoπCoverage ya mchezo imeharibiwa kabisa kuanzia main camera hadi wanavyoswitch. Sijawahi kuona coverage mbovu kiasi hiki.
Huyu ni mzigo kabisa. Mwili mkubwa lakini hamna kituHatuna mipango ya kupata goli
Jobe alikuwa mtu pale mbele ila huyu koublan hapa tumepigwa
[emoji2956]Bora hata tutoe draw, afu jwaneng hapa kwa mkapa tuwapige, then tusepee robooo.
Tusifungwe tafadhari.
Kikubwa match ya jwaneng ni kushinda tyuuh.Ikishindikana usgindi, Draw kwa Simba si nzuri?
Mavi kabisaHuyu Fred [emoji30][emoji30]
bila shaka ulikuwa bado upo chekechea kipindi hicho πFT: Simba SC 1-5 Young African SC | NBC Premier League| Benjamin Mkapa Stadium | 05.11.2023
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, tarehe 05.11.2023 iliyokuwa ikisubiriwa na Watanzania wengi imewadia. Siku ambayo wapenzi wa soka watashuhudia Derby ya Kariakoo, miongoni mwa Derby bora kati ya zile zinazoheshimika barano Afrika. Mechi hii itaanza muda wa saa 11:00Jioni. Kaa nami katika uzi huu...www.jamiiforums.com