FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba | CAF CL | Felix Houphouet Boigny Stadium | 23.02.2024

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1708639171602.png

Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi

Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas

Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu

1708711610855.png

Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo
1708711805166.png

Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo

Mchezo umeanza

Dakika ya 10 Asec 0-0 Simba

Dakika ya 20 Asec 0-0 Simba

Dakika ya 25 Asec 0-0 Simba

Dakika ya 30 Asec 0-0 Simba

Dakika ya 40 Asec 0-0 Simba

Dakika ya 45 Asec 0-0 Simba
HT: Asec 0-0 Simba
Kipindi cha pili kimeanza Asec 0-0 Simba

Dakika ya 50 Asec 0-0 Simba

Dakika ya 60 Asec 0-0 Simba

Dakika ya 75 Asec 0-0 Simba

Dakika ya 80 Asec 0-0 Simba

Dakika ya 85 Asec0-0 Simba

Dakika ya 90 Asec 0-0 Simba

Dakika 3 zimeongezwa

FT: Asec Mimosas 0 - 0 Simba​

 
Kila la kheri watani, nyie peperusheni bendera kwanza wakati sisi tunajiandaa kwa bleach za Pacome Day.
Asante sana.

But am worried 😟 bleach kubadilika na kuwa nyausi hiyo Jumamosi
 
Nilitegemea kufika wakati huu kiwango cha Simba kitakuwa kimeongezeka, bahati mbaya bado hakijaniridhisha, tuo e leo kama watabadilika tofauti na tulivyowazoea wakicheza mechi la ligi kuu.

Simba kufungwa na Asec leo, naamini ndio utakuwa mwisho wetu kwenye lugi ya mabingwa Afrika msimu huu, kazi kwa hao wachezaji wapambane.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom