Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hojaHata Tve ya Majizo nayo inaonyesha ila sasa hizi chaneli za TV E na TBC sio HD kuna ladha itapungua hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaHata Tve ya Majizo nayo inaonyesha ila sasa hizi chaneli za TV E na TBC sio HD kuna ladha itapungua hivi
aisee . kwa hiyo TBC wana ruhusu mtangazaji wao ana enda kutangaza kituo kingineYupo DStv anatangaza mechi za EPL kwa kiswahili weekend
wana uwezo gani kuiletea figisu tv ya serikali, si watanyimwa masafa?SHUKRAN TBC ILA AZAM WATAFANYA FIGISU WATAFUNGA CHANEL PALE MPIRA UTAKOPORUSHWA
Mtangazaji wa TBC1 Nazareth Upete jana aliposti kwenye akaunti yake kuhusu ishu hii. Huu hapa ushahidiView attachment 2913016
aisee . kwa hiyo TBC wana ruhusu mtangazaji wao ana enda kutangaza kituo kingine
TVE ni HD ilyochangamkaHata Tve ya Majizo nayo inaonyesha ila sasa hizi chaneli za TV E na TBC sio HD kuna ladha itapungua hivi
295Sawa...
Niliona hata DSTV wanajinasibu kuonesha lakini sijui channel namba ngapi...
AMIINA.May your wishes come true...
TBC sio ya Serikali bali ni ya umma. TSN ndio ya serikali. Hii dhana potofu ndio imefanya imekua media ya hovyo kabisa.wana uwezo gani kuiletea figisu tv ya serikali, si watanyimwa masafa?
Imagine haina viongozi na inaongoza ligi kwa vipigo heavy ingekua na viongozi ingekuaje?Timu kama vile Haina Uongozi mbwembwe nyingi sana utadhani ni mashindano ya bleach.
Kwann wabongo mnaamin sana figisu ? Mbna wakati wa Afcon hawajafungiwa ?SHUKRAN TBC ILA AZAM WATAFANYA FIGISU WATAFUNGA CHANEL PALE MPIRA UTAKOPORUSHWA